Psalms 98:2-3

2 a Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane
na amedhihirisha haki yake kwa mataifa.
3 bAmeukumbuka upendo wake
na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli;
miisho yote ya dunia imeuona
wokovu wa Mungu wetu.
Copyright information for SwhNEN